Ali Nassor Px
JF-Expert Member
- May 6, 2022
- 2,384
- 3,926
Mkuu ulitaka niandike thread maneno mangapi ili nikufurahishe weweThread tyr
Kikatiba, Kiswahili ni First Official Language na tena ni National Language.Mda huu natazama uapisho wa Rais mteule wa kenya Mh. Dk . William Ruto .
lakini pia kabla ya leo nimefatilia sana kampeni zake na za mpinzani wake mkuu Mh. Raila Odinga ila katika kampeni zao wametumia sana lugha ya kiswahhili kuliko kiingereza
lakini katika hii shughuli ya kumuapisha Mh William Ruto wanatumia sana kiswahili hata nyimbo zinazoimbwa inatumika sana lugha ya kiswahili.
Sasa nataka kujua hivi kwanini wakenya wanatumia sana kiswahili wakati lugha yao ya taifa inatambulika kama kiingereza ?
Sawa mkuu, shukran kwa kunielimishaKikatiba, Kiswahili ni First Official Language na tena ni National Language.
Kiingereza ni Second Official Language
Muda huu natazama uapisho wa Rais mteule wa Kenya Dkt. William Ruto.
Lakini pia kabla ya leo nimefuatilia sana kampeni zake na za mpinzani wake mkuu Mh. Raila Odinga ila katika kampeni zao wametumia sana lugha ya Kiswahhili kuliko Kiingereza
Lakini katika hii shughuli ya kumuapisha Mh. William Ruto wanatumia sana Kiswahili hata nyimbo zinazoimbwa inatumika sana lugha ya Kiswahili.
Sasa nataka kujua hivi kwanini Wakenya wanatumia sana Kiswahili wakati lugha yao ya taifa inatambulika kama Kiingereza?
Kwasababu Katiba imeandikwa kwa Kiingereza na Kiapo chenyewe kiko kwenye katiba. Ningekuwa Rais, hili ni jambo la kwanza ambalo ningebadilishaKama Kiswahili ndio lugha no. 1 Kenya, mbona Ruto na Naibu wake wameapa kwa Kiingereza ?
Lugha ya Taifa ya Kenya ni Kiswahili. Kiingereza ni Lugha rasmi/ ya kikazi.Muda huu natazama uapisho wa Rais mteule wa Kenya Dkt. William Ruto.
Lakini pia kabla ya leo nimefuatilia sana kampeni zake na za mpinzani wake mkuu Mh. Raila Odinga ila katika kampeni zao wametumia sana lugha ya Kiswahhili kuliko Kiingereza
Lakini katika hii shughuli ya kumuapisha Mh. William Ruto wanatumia sana Kiswahili hata nyimbo zinazoimbwa inatumika sana lugha ya Kiswahili.
Sasa nataka kujua hivi kwanini Wakenya wanatumia sana Kiswahili wakati lugha yao ya taifa inatambulika kama Kiingereza?
Kiingereza ni Lugha ya ofisini. Tena kuapishwa inahusisha mataifa mengi duniani sasa lazima angetumia KiingerezaKama Kiswahili ndio lugha no. 1 Kenya, mbona Ruto na Naibu wake wameapa kwa Kiingereza ?