Ni ipi maana halisi na tofauti zake......!!!

Ni ipi maana halisi na tofauti zake......!!!

Hata mimi najiuliza hivi kufanya mapenzi ni raha, furaha au utamu?
Kula chakula ni raha au utamu?
 
Nadhani ukitimiza malengo unapata furaha na sio utamu.Wataalamu wa lugha waje huku kufafanua zaid.
 
PESA ndio baba wa yote.Ukiwa na mshiko mrefu you can get "Utamu, raha na Furaha" pesa ndio mambo yyote
 
PESA ndio baba wa yote.Ukiwa na mshiko mrefu you can get "Utamu, raha na Furaha" pesa ndio mambo yyote

Hivi ni kweli Pesa inaweza ikanunua furaha? hIVI NI KWELI hakuna matajiri ambao wanaishi bila furaha na wanazo pesa nyingi?
 
Haya matumizi ya hizi terminology yanamikanganyiko

ndiomaana nikasema hayo maneno yantafsiriwa zaidi kutokana na feedback za Physically and mentaly juu ya jambo au tendo fulani kufanyika
 
ndiomaana nikasema hayo maneno yantafsiriwa zaidi kutokana na feedback za Physically and mentaly juu ya jambo au tendo fulani kufanyika

wewe unaona tofauti zake kubwa zipi kati ya hayo maneno matatu na je matumizi yake yanvyotumiwa ni kwa usahihi?
 
Back
Top Bottom