PESA ndio baba wa yote.Ukiwa na mshiko mrefu you can get "Utamu, raha na Furaha" pesa ndio mambo yyote
Nngependa kujua Utofauti wa maneneno haya
na usahii wake katika kuyatumia "RAHA, FURAHA, UTAMU"
Haya matumizi ya hizi terminology yanamikanganyiko
ndiomaana nikasema hayo maneno yantafsiriwa zaidi kutokana na feedback za Physically and mentaly juu ya jambo au tendo fulani kufanyika