Ni ipi maana sahihi ya neno hili kwa kiswahili fasaha

Ni ipi maana sahihi ya neno hili kwa kiswahili fasaha

KiuyaJibu

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2007
Posts
848
Reaction score
191
Rejea kichwa cha habari hapo juu;neno lenyewe ni SOCIALIZATION
Wakuu hapa jamvini naombeni msaada wenu iliniweze kumfahamu na kuwafahamisha wengine pia.
 
socialize vt ishi pamoja; endesha/fanya -a umma, juana. socialization n. socially adv pamoja.
 
Bwana Lumbe ametoa maelezo kamili.

Mchango wangu unagusa neno la kiswahili linalokaribia dhana hii yaani "ujamiishaji" = socialization. Mchakato huu hufanya mtu afungamane kikamilifu na jamii ambapo yeye ni mwanachama. (Fungamano la kijamii)

Waweza pia nafikiri kutumia "ujumuishaji" au "uwanajumuiya" kutafsiri "socialization".
 
Mie naunga mkono maana/fasili hizo hapo juu walizofafanua ndugu, lakini pia neno lenye ya karibu kwa SOCIAL- Katika kiswahili ni jumuia./jumuishi/jambo lishirikishalo watu kadha wa kadha.
Hivyo Socialiaz/sation- na weza kusema ni UJUMU/ISHO/SHAJI WATU/KONGAMANO/JUMUISHI/USHIRIKA/UJAMAA... Na Mengineyo....


''Naendelea Kufikiri juu ya Fasili Kufikiri Fasili''
 
Back
Top Bottom