OMO ni makamu wa kwanza wa wa Rais wa Zanzibari katika serikali ya umoja wa kitaifa Zanzibar kwa mujibu wa katiba ya Zanzibar.Othman aliyeapishwa Zanzibar kuwa Makamu wa Kwanza wa Rais, ana nguvu gani ya maamuzi akitokea ACT Wazalendo?
Anaweza aka command nini?
Ni upinzani au ni mshirika wa CCM
Au ni stooges tu lipolipo as long as anapata vingora na mihela?
Ni cheo ceremonial. Ni sawa na mke wa boss, lakini ni mama wa nyumbani tu.Othman aliyeapishwa Zanzibar kuwa Makamu wa Kwanza wa Rais, ana nguvu gani ya maamuzi akitokea ACT Wazalendo?
Anaweza aka command nini?
Ni upinzani au ni mshirika wa CCM
Au ni stooges tu lipolipo as long as anapata vingora na mihela?
Hujui chochote, kaa kimya we kiazi mviringo.Ana nguvu, mfano rais akifariki, yeye makamu anakuwa rais, kama vile kipindi kile cha hayati magufuli
Siyo rahisi unavyofikiliaAna nguvu, mfano rais akifariki, yeye makamu anakuwa rais, kama vile kipindi kile cha hayati magufuli
Viongozi wa Act ndani ya SUK, wanatekeleza ilani ya uchaguzi ya CCM!, hana mamlaka yoyote ndani serikali zaidi ya ving'ora, ulinzi, heshima, ufahari, posho na protokali.Othman aliyeapishwa Zanzibar kuwa Makamu wa Kwanza wa Rais, ana nguvu gani ya maamuzi akitokea ACT Wazalendo?
Anaweza aka command nini?
Ni upinzani au ni mshirika wa CCM
Au ni stooges tu lipolipo as long as anapata vingora na mihela?
Mwinyi Kiwa nje ya nchi nsni hukabidhiwa nchiViongozi wa Act ndani ya SUK, wanatekeleza ilani ya uchaguzi ya CCM!, hana mamlaka yoyote ndani serikali zaidi ya ving'ora, ulinzi, heshima, ufahari, posho na protokali.
P
Ilo jinga la lumumba mbona umelifananisha na kitu cha maana sana.Hujui chochote, kaa kimya we kiazi mviringo.
Majamu wa piliMwinyi Kiwa nje ya nchi nsni hukabidhiwa nchi
Thubutuu, atakua huyo wa pili, anayetoka CCMAna nguvu, mfano rais akifariki, yeye makamu anakuwa rais, kama vile kipindi kile cha hayati magufuli
Kunakuwaga na changamoto zipi zinazo chelewesha kuundwa kwa serikali ya umoja wa kitaifa (SUK) ?Aidha amesema kuwa nafasi za Wizara nne zikiwemo Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais, Afya, Utalii na Mambo ya Kale, pamoja na Biashara na Maendeleo ya Viwanda , zitaachwa wazi kwa muda hadi Serikali ikamilishe makubaliano na Chama cha ACT Wazalendo katika kuunda Serikali ya Umoja wa Kitaifa.
Kikatiba majukumu yake ni yepi? Kuna mtu kasema kula mshaharaOMO ni makamu wa kwanza wa wa Rais wa Zanzibari katika serikali ya umoja wa kitaifa Zanzibar kwa mujibu wa katiba ya Zanzibar.
In fact ni kiburi, ujeuri, ubinafsi na majivuno yake tu ndio yamemchelewesha kushika wadhifa huo, akidhani wananchi wa Zanzibari wanaweza kumkataa Rais Hussein na kumfuata yeye.
Kiujumla,
hana nguvu wala ushawishi wowote ule wa kisiasa au kiuchumi, ndani au nje ya ACT- wazalendo. Ni mwanasiasa wa kawaida sana Tanzania 🐒
very sad indeed! asante kwa elimu. Kwahiyo zanzibar hakuna upinzani, ingawa ACT from the very of its inception was not a real upinzani!Viongozi wa Act ndani ya SUK, wanatekeleza ilani ya uchaguzi ya CCM!, hana mamlaka yoyote ndani serikali zaidi ya ving'ora, ulinzi, heshima, ufahari, posho na protokali.
P