Huo ndiyo unafiki wa kisiasa usiokubalika.Hao ACt huwa wanasusia kwa muda ila mwisho wa siku wanakubali. Hiyo ndio sababu kubwa
changamoto ni zilezile za siku zote, unaiba uchaguzi alafu unampa majimbo kadhaa, sasa act ndo hua kuna mzozo hapo, na kwenye katiba yao humo wameandika wale walioshinda wanaweza endelea na mchakato wa kuunda serikali bila hawa wengineKunakuwaga na changamoto zipi zinazo chelewesha kuundwa kwa serikali ya umoja wa kitaifa (SUK) ?
Inakuwaje kila upoisha uchaguzi serikali ya SUK inachukua muda mrefu kuundwa au kuna kudeka na kudekezana?
Kweli kabisaHuo ndiyo unafiki wa kisiasa usiokubalika.
Unasusia kitu ambacho unajua fika utakubaliana nacho.
Wanapoteza pesa za uma na muda kukaa vikao vya uongo na kweli kujadili kitu ambacho wanajua fika lazima watakubaluana nacho!!
Duh!..Viongozi wa Act ndani ya SUK, wanatekeleza ilani ya uchaguzi ya CCM!, hana mamlaka yoyote ndani serikali zaidi ya ving'ora, ulinzi, heshima, ufahari, posho na protokali.
P
Aaah wapi...Ana nguvu, mfano rais akifariki, yeye makamu anakuwa rais, kama vile kipindi kile cha hayati magufuli
Hata wapinzani wa huku bara badala ya kuhamasisha maelewano wao wanasimama majukwaani na kuhamasisha uasi na ugaidi wa raia kuichoma nchi yao. Bara tuna wapinzani wenye laana.Sababu hawatekani na kuuwana. Huku bara watu wanapenda kumwaga damu za wenzako ndio furaha yao. Mtu anaibuka na kudai wananchi waombe ili Lissu anyongwe. CCM Ina roho mbaya sana, inaamini kwenye mauaji Zaidi.
Nzuri hiyo, kwahiyo hapo ahakikishe mwinyi hatoboi 2030 bila kuwa kwenye futi sitaAna nguvu, mfano rais akifariki, yeye makamu anakuwa rais, kama vile kipindi kile cha hayati magufuli
ππππππHata wapinzani wa huku bara badala ya kuhamasisha maelewano wao wanasimama majukwaani na kuhamasisha uasi na ugaidi wa raia kuichoma nchi yao. Bara tuna wapinzani wenye laana.
Mfano mgumu sana.Ni cheo ceremonial. Ni sawa na mke wa boss, lakini ni mama wa nyumbani tu.