Ni ipi program bora ya Uhasibu?

Ni ipi program bora ya Uhasibu?

Short Boe

Member
Joined
Nov 15, 2021
Posts
19
Reaction score
14
Habari za masiku ndugu zangu,

Kwa wale wataalamu wa software au wenye fani ya uhasibu nilikuwa nahitaji kijua program ipi ambayo naweza kuitumia kutunza kumbukumu zangu za kifedha hasa kutoa mapato na mafumizi ukiachana na Excel
 
Sage one accounting. Ipo cloud hata computer iliharibika ,data zako ziko salama. Pia unaweza post hata kwa simu.nicheki 0713039875
 
Tally ndio program bora ukilinganisha na nyingine, na kimataifa inakubalika zaid kwa ubora wa ripot, piga 0713 555991upate demonstration, ,nikuonyeshe inavyofanya kazi
 
Back
Top Bottom