Ni ipi sababu ya Rais Samia kuwa karibu sana na kuipa uzito Nchi ya Oman?

Tanganyika watu waliokuwepo asilia na mpaka sasa wapo niwahadzabe.

#MaendeleoHayanaChama

MKuu kwa uasili hilo sio la kweli, Wabantu wote walitokea West Africa na Waarabu wametokea Bara Arabu sasa hao wa Tanganyika wa asili ndio wapi?
 
Neno asili naona umelibandika mwenyewe halikutoka kwenye chapisho langu ? By the way sikuwa na lengo la kusema waomani asili yao Zanzibar, nilichokusudia ni kuwa kuna udugu wa damu baina ya Zanzibar na Oman kwa maana kuna familia zina ndugu zao pande zote mbili.

Waliohamia kutoka Oman miaka hio kuja Zanzibar walisalia kubakia, na walioenda huko Oman wakitoa Zanzibar wamesalia huko. Hii sidhani kama ni suala la kupigishana kelele liko wazi. Udugu wa damu na Tanganyika pia upo Zanzibar if that will make you feel better 🙂
 
Unaijua asili ya marhum Sultan Qaboos bin Said?
 
Labda anawakumbuka Babu zake huko.
 
historia inasema znz iliatawaliwa na oman, kuna wazanzibari wengu wana ndugu oman yawezekana ni sababu
 
historia inasema znz iliatawaliwa na oman, kuna wazanzibari wengu wana ndugu oman yawezekana ni sababu

Historia gani hiyo inayosema hivyo? Au ya Dodoma?

Historia tunayoijua ni kuwa Zanzibar iliitawala Oman Na Si kinyume chake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…