Kipilipili
JF-Expert Member
- May 25, 2010
- 2,272
- 1,897
Napata uvulivuli juu ya dhana hizi"chachu" na "ngwadu",tofauti yake ni ipi?na je ni sahihi kusema kuwa chachu ni ngwadu ila si kila ngwadu ni chachu?mfano,maziwa yanapochachuka huwa ngwadu lakini ndimu ni gwadu japo haijachachuka.