Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,997
- 15,112
Samahani hujashibisha jibu!!Swahiba ni mshikaji,MTU wako mlieshibana sana kuzidi undugu,rafiki ni MTU uliyezoeana nae na mazoea yenye mipaka yawezakuwa jamaa,Dada,baba,kaka,mama,mdogo,make,mume,mtoto,jirani,classmate,n.k
Swahiba=zaidi ya rafiki(wachache),rafiki=ukaribu kwenye mipaka tofauti mfano mke,baba,mama,mtoto..nk(wengi)Samahani hujashibisha jibu!!
Kwanza nipe maneno haya kwa laugha asili...!!
Swadaqta !!Swahiba=zaidi ya rafiki(wachache),rafiki=ukaribu kwenye mipaka tofauti mfano mke,baba,mama,mtoto..nk(wengi)