Choosen85
JF-Expert Member
- Jun 22, 2022
- 1,143
- 2,475
1. Mwanamke nliyezaa naye tuliuguliwa mtoto akalazwa na tatzo lilikuwa linajulikana maana iyo ilikuwa n mara ya pili, mtoto alifariki nliumia mpk leo sjawai msahau mwanangu, aisee yule mdada akaanza sambaza mi ndo nimemuua mtoto wng.
2. Nilipigiwa cm na ndugu yng kwmb kuna kaz kaniunganishia akaniambia niwe passport kubwa,nichome chanjo ya corona. Nikaacha mambo yng na ilikuwa niajiriwe na kanisa kama katibu nikaaga kwmb nimepata kaz mkoan nilikopa hela vicoba kushughurikia pasprt na mambo mengne nikafunga safari mpk leo ni miaka 3 hakuna jipya zaid nafanya mambo mengne bnafs maisha yanasonga.
3. Kuna ndugu walinigombanisha na baba angu tukawa hatuelewan sasa kuna dogo mmoja ndugu yng alikuwa mshkaji yng sn kumbe mi sjui hli wala lile mambo yng nikimwambia anaenda mwambia mzee mbaya zaid dogo alinisngzia nimemuibia pasi akaenda mwambia mzee, daaah mzee kapga cm kwa baadhi ya watu akiwambia nimekuwa mwiz eti nimemuibia fulan pasi wkt si kweli. Inaniuma sn mpk leo.
JE, WEWE NI KIPI HUTOSAHAU WALA HUJASAMEHE.