Ni jambo gani jema alilowahi simamia/shadadia Bashite likafanikiwa?? Tujiandae Kisaikolojia mechi ya leo TAIFA Stars vs Kenya.....

Ni jambo gani jema alilowahi simamia/shadadia Bashite likafanikiwa?? Tujiandae Kisaikolojia mechi ya leo TAIFA Stars vs Kenya.....

kasenene

JF-Expert Member
Joined
Jun 6, 2008
Posts
1,632
Reaction score
2,413
Huyu jamaa sijui huwa ana balaa gani...nimeshapoteza mvuto "game" hata kabla ya mechi kuanza
 
Ati timu ya taifa inatekeleza ilani ya ccm by Makonda.
 
Kabisa, yaan kaenda kupeleka siasa zake kwenye team ya Taifa..

inamaana Taifa limekosa watu kwenda kutoa hamasa mpka makonda, ile hali mvuto wa makonda kwenye public ni hasi..
 
Inasadikika amewezesha goli huko usiku huu
 
Kabisa, yaan kaenda kupeleka siasa zake kwenye team ya Taifa..

inamaana Taifa limekosa watu kwenda kutoa hamasa mpka makonda, ile hali mvuto wa makonda kwenye public ni hasi..
Makonda hana usiano wamoja kwa moja na ushindi star ameenda kama mshabiki tu hata kenya walikuwepo washabiki
 
Back
Top Bottom