K kasenene JF-Expert Member Joined Jun 6, 2008 Posts 1,632 Reaction score 2,413 Jun 27, 2019 #1 Huyu jamaa sijui huwa ana balaa gani...nimeshapoteza mvuto "game" hata kabla ya mechi kuanza
Kiby JF-Expert Member Joined Nov 16, 2009 Posts 6,921 Reaction score 4,683 Jun 27, 2019 #2 Ati timu ya taifa inatekeleza ilani ya ccm by Makonda.
Mbaga Jr JF-Expert Member Joined May 28, 2018 Posts 29,028 Reaction score 69,666 Jun 27, 2019 #3 jezi yangu mwilini
Chrismoris JF-Expert Member Joined Oct 27, 2017 Posts 14,113 Reaction score 17,645 Jun 27, 2019 #4 Kumwaga machozi madhabahuni.
bukoba04 JF-Expert Member Joined Dec 26, 2014 Posts 1,402 Reaction score 1,291 Jun 27, 2019 #5 Kabisa, yaan kaenda kupeleka siasa zake kwenye team ya Taifa.. inamaana Taifa limekosa watu kwenda kutoa hamasa mpka makonda, ile hali mvuto wa makonda kwenye public ni hasi..
Kabisa, yaan kaenda kupeleka siasa zake kwenye team ya Taifa.. inamaana Taifa limekosa watu kwenda kutoa hamasa mpka makonda, ile hali mvuto wa makonda kwenye public ni hasi..
Faana JF-Expert Member Joined Dec 12, 2011 Posts 38,657 Reaction score 44,759 Jun 27, 2019 #6 Inasadikika amewezesha goli huko usiku huu
K Kigaga255 Member Joined Apr 25, 2019 Posts 73 Reaction score 34 Jun 28, 2019 #7 bukoba04 said: Kabisa, yaan kaenda kupeleka siasa zake kwenye team ya Taifa.. inamaana Taifa limekosa watu kwenda kutoa hamasa mpka makonda, ile hali mvuto wa makonda kwenye public ni hasi.. Click to expand... Makonda hana usiano wamoja kwa moja na ushindi star ameenda kama mshabiki tu hata kenya walikuwepo washabiki
bukoba04 said: Kabisa, yaan kaenda kupeleka siasa zake kwenye team ya Taifa.. inamaana Taifa limekosa watu kwenda kutoa hamasa mpka makonda, ile hali mvuto wa makonda kwenye public ni hasi.. Click to expand... Makonda hana usiano wamoja kwa moja na ushindi star ameenda kama mshabiki tu hata kenya walikuwepo washabiki
K Kigaga255 Member Joined Apr 25, 2019 Posts 73 Reaction score 34 Jun 28, 2019 #8 Kigaga255 said: Makonda hana usiano wamoja kwa moja na ushindi star ameenda kama mshabiki tu hata kenya walikuwepo washabiki Click to expand... Kwahiyo alikuwa na haki ya kwenda hata Mtanzania yeyote ana haki
Kigaga255 said: Makonda hana usiano wamoja kwa moja na ushindi star ameenda kama mshabiki tu hata kenya walikuwepo washabiki Click to expand... Kwahiyo alikuwa na haki ya kwenda hata Mtanzania yeyote ana haki