Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata mie kanikata umeme kabisa.Yani ya kwako hutaki kuyaanika hapa halafu unataka tutiririke ya kwetu? Anza kwanza wewe
Nilikuwa naiogopa sana kesho yanguNi jambo gani lilikuwa linakuogopesha sana, lakini sasaivi unaona ni kawaida kulifanya na wala huogopi kabisa?
Tiririka.....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]To be honest nilikua naogopa kufanya mapenzi,. Lakini saizi walaaa[emoji13][emoji13]
Hii 😃😂😂😂kunjunjana, zamani tukiwa wadogo mabroo zetu walikuwa wanatuchimba biti kuwa mbususu inaunguza dudu...