Hata mie kanikata umeme kabisa.Yani ya kwako hutaki kuyaanika hapa halafu unataka tutiririke ya kwetu? Anza kwanza wewe
Nilikuwa naiogopa sana kesho yanguNi jambo gani lilikuwa linakuogopesha sana, lakini sasaivi unaona ni kawaida kulifanya na wala huogopi kabisa?
Tiririka.....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]To be honest nilikua naogopa kufanya mapenzi,. Lakini saizi walaaa[emoji13][emoji13]
Hii ππππkunjunjana, zamani tukiwa wadogo mabroo zetu walikuwa wanatuchimba biti kuwa mbususu inaunguza dudu...