Ni jambo gani ulishawahi fanya ukajiona wewe ni bonge la shujaa?

Ni jambo gani ulishawahi fanya ukajiona wewe ni bonge la shujaa?

siasa ms

JF-Expert Member
Joined
Nov 24, 2019
Posts
1,821
Reaction score
3,142
Binafsi sijawahi fanya tukio lolote ambalo lingenifanya nijione shujaa.

Tuelezee ulifanya jambo gani ambalo lilikufanya ujione shujaa.
 
kukataa kuwa mtumwa wa boss ivo kila akiniagiza jambo naitikia tena kwa bashasha ila sitekelezi akija kuhitaji feedback nampanga visababu vya ajabu ajabu next time hivyo hivyo. mwisho wa siku akiwapa wengine kazi wanamwambia anipe mimi ndio mtalaamu ikabidi aanze urafiki na kuacha ubabe na pesa akaanza kutoa. kisa kingine
 
bosi alikua kanji nini mkuu?
 
Binafsi sijawahi fanya tukio lolote ambalo lingenifanya nijione shujaa.

Tuelezee ulifanya jambo gani ambalo lilikufanya ujione shujaa.
Niliwahi kumkamua mke wa boss chumbani kwake boss akiwa safarini Dodoma
 
Mimi nilikua houseboy hapo home kwao. Basi boss kaitwa Makao Makuu Dodoma Mama huku akaanza shobo ooh sijui mrefu sijui nn. Sikumkawiza bao 3 za nguvu kavu.
ukajiona bonge la shujaa 😀
 
Kuacha kazi kwenye kampuni nilipokua nafanya kwa kutofautiana kauli na bosi maana nilileta akili mingi kama za tundu lisu boss nikaona ananiletea u wacky ila baada ya siku mbili nikaitwa na kampuni nyingine na nimepata mshahara mara mbili ya kule nilikotoka
 
Kujificha kwenye msitu almost mwezi karibu na kijiji Fulani mkoani tabora baada ya kukimbia kesi ya kutafuna mwanafunzi kahama shinyanga

Kumeza dawa tumboni na kufanikiwa kuvuka airport na mwishowi kuzinya bila tatizo lolote bila kupasukia tumboni

Kukimbia na hela za mchango wa harusi yangu mwenyewe hata kabla haijafanyika

Nisamehe mzee athumani ule ulikuwa ni ujana unanisumbua
Iko hivi mzee alivyoskia natembea na binti yake akaniita chini akanionya japo alikuwa ananiamini akaniambia basi muoe ili bintiwe asimletee aibu ya kuzalia nyumbani nikamwambia sina hela akakubali kugharamia mwenyewe nikiwa ktk kamati ya mchango..

Kutafuna mdada mtangazaj wa radio flani local hapa kitaa pind npo advance kwa njia ya kufake life hadi identity ule ni zaidi ya ushujaa
 
Nilikuwa namfundisha mzee kutumia smart phone nilivyoona kawa mpole na anauliza maswali kwa sauti ya upole si ile ya ukalikali hapo ndipo nilipokosea nikamwambia kanifatie maji ya kunywa!!! Guess what happened..??
Kwa kilichotokea ni siri yangu Ila mpk kuweza kusurvive kwa kilichonikuta asee Mimi ni shujaa japo sina meno mawili lkn nilisurvive..😅
 
Kuna kijana jirani yetu Alikuwa anajinyonga, niliikata ile kamba , mpaka Sasa yupo anaishi !!! Way back k 2018 !!!

Alikiwa keshafika stage mbaya, keshaanza kutapatapa, baada ya kukatwa alilala chini Kama lisaa ndo faham zikamrejea, shingo ilivimba Sana !!!

Kisa ni ugomvi na mama Yake kisa hela ya urithi wa baba Yake !!
 
Back
Top Bottom