Ni jambo gani unajivunua ulilolifanya kwaajili ya Taifa?

Ni jambo gani unajivunua ulilolifanya kwaajili ya Taifa?

Jumlisha

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2022
Posts
1,239
Reaction score
2,765
Bonjour,

Bila kupoteza muda ukiachana na kulipa kodi ni jambo gani unajivunia kulifanyia Taifa lako.

Mfano jeshi la wananchi mwanajeshi ana cha kujivunia binafsi najivunia kuchangia damu bila shuruti kwa hiali kabisa na kwakuwa damu yangu ni group O mim ni Universal global donor najua damu yangu imeokoa na kusaidia maisha ya wengine wenye huitaji kwa Taifa hili.
 
Back
Top Bottom