Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,096
- 4,948
Michango ya kununua gani la Lisu imewafanya wana CCM wacha Mungu waamue kutoa pesa zao kama sadaka ya kufuta dhambi iliyotendwa kwa kiumbe hiki kisicho na hatia.
Wapo waumini wa kanisa moja walifunga na kuomba apone lakini wapo waliotamani asiwepo hai. Ukiwauliza Lisu kuwakosea nini hakuna mwenye majibu. Ukiwauliza ni kipi amewahi kuibia nchi au kosa gani alifanya dhidi yao majibu hakuna.
Katika hali hiyo pia tumeona vijana wadogo waliopewa uongozi wanatoka adharani na kupinga asipewe michango. Ukiwauliza aliwakosea hakuna mwenye majibu. Lakini pia ukiwauliza endapo angefariki wangenufaika nini majibu hakuna.
Hali ipo pia kwa viongozi wengine wengi na baadhi yao wamejitokeza adharani kuonyesha chuki yao. Kibaya zaidi watu hawa wanahubiri mshikamano na upendo kila siku ila matendo yao yamejaa ubinafsi.
Nichukue fulsa hii kuwaomba binadamu wenzangu usifundishwe kumchukia mtu. Ni hatari sana kuwa na viongozi wanaolaani mauaji na matendo mabaya yanayofanywa nje wakakaa kimya kwenye matendo ya ndani.
Niwaombe viongozi wa dini, toeni sadaka kwenye eneo hili kuiepusha nchi na adhabu ya Mungu. Mnaweza mkakaa kimya kwa sababu mnawaogopa watawala lakini ipo siku watoto wenu watafanyiwa haya. Ni rahisi sana kurithi dhambi pale ambapo wazazi watashindwa kuomba toba.
Tubuni kwani yawezekana walioshiriki kumpiga lisasi ni watoto wenu viongozi wa wadini. Duniani kuna siri kubwa, tuombe msamaha hasa kwa yale ya silini