Ni jambo la muhimu sana lakini hataki kuniambia ukweli. Nisaidieni...

Asante mkuu kwa ushauri wako
Ukiona anakutania kuhusu mimba jua iko njiani .kipimo hakizid huku 3 mwite mpime kama hana achana naye usitest sumu kwa kuilamba.
 
Pre-cum ni ute wa awali unaotoka kabla ya shahawa. Huwa na mbegu za uzazi.

Ulishaweza kutunga ujauzito kabla ya kumwagia nje.

Bibie ni mbinafsi sana. Anaangalia gisua zake bila kujali hatari iliyopo mbele yako.

Yawekeni mahusiano yenu wazi na muendelee kuijaza dunia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…