Pre GE2025 Ni jambo moja kwenda kwenye shughuli za CCM kikazi, ni jingine kuvaa magwanda yao ya kijani na kuwa chawa. Wasanii wa bongo hamna thamani kabisa

Pre GE2025 Ni jambo moja kwenda kwenye shughuli za CCM kikazi, ni jingine kuvaa magwanda yao ya kijani na kuwa chawa. Wasanii wa bongo hamna thamani kabisa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Mindyou

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2024
Posts
1,869
Reaction score
4,877
Wakuu,

Kwenye events hizi mbili za mwisho za CCM kuna kitu nimejifunza.

Unakuta msanii anaenda ku-perform huko CCM alafu anavaa manguo ya CCM then akienda kwenye vyombo vya habari akiulizwa yeye ni CCM anakataa anasema alikuwa tu kazini.

Sasa kama ulienda ku-perform tu kama kazini, mnaenda kuvaa manguo ya CCM ya nini?

Kwenye Uchaguzi wa 2024, Jeniffer Lopez, Beyonce na Meghan Stallion walienda kuperform huko kwenye kampeni ya Kamala Harris lakini hawakuvaa manguo yenye nembo za Democrats.

Wasanii mnapoenda kwenye makampeni huko, mmkivaa tu manguo ya CCM tunajua nyie ni CCM




 
Back
Top Bottom