Dragunov Sniper
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 2,795
- 9
[TABLE="class: t1"]
[TR]
[TD="class: td1"]IBARA YA 72. INASEMA KWAMBA Bila kuathiri masharti yaliyomo kwenye Sura hii, mtu yeyote mwenye asili au nasaba ya Tanzania na ambaye ameacha kuwa raia wa Jamhuri ya Muungano kwa kupata uraia wa nchi nyingine, atakapokuwa katika Jamhuri ya Muungano, atakuwa na hadhi maalum kama itakavyoainishwa katika sheria za nchi.
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="class: t1"]
[TR]
[TD="class: td1"]SURA YOTE YA SITA inahusu URAIA KATIKA JAMHURI YA MUUNGANO kuanzia Ibara ya 63 mapaka 72 haipaswi kupuuzwa kwa mfano:-
[TR]
[TD="class: td1"]
[TR]
[TD="class: td1"]
[/TR]
[/TABLE]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: td1"][/TD]

- ibara ya 63 RAIA ATABAKI KUWA RAIA
- URAIA WA NCHI 2
- hati ya kuzaliwa, kitambulisho NI haki
[TR]
[TD="class: td1"]
- Kila mtu aliyezaliwa Tanzania Bara au Zanzibar atakuwa raia
[TR]
[TD="class: td1"]
- Ikiwa mama au baba yake ni raia watoto haka kama wamezaliwa nje ya nchi ni raia pia
- [TABLE="class: t1"]
[TR]
[TD="class: td1"]Mtoto mwenye umri chini ya miaka saba akikutwa ndani ya eneo la Jamhuri ya Muungano katika mazingira ambayo wazazi wake hawajulikani, atachukuliwa kuwa ni raia
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[/TR]
[/TABLE]
- [TABLE="class: t1"]
[TR]
[TD="class: td1"]Mtu aliyefunga ndoa na raia
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
nae atakuwa raia kama akiomba nk
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: td1"][/TD]
[/TR]
[/TABLE]
- [TABLE="class: t1"]
[TR]
[TD="class: td1"]
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[/TR]
[/TABLE]