Ni jina gani la "classmate" wako ukilikumbuka linakuvunja mbavu

mwahija na Havijawa Amani primary schoo Dodoma
Mwajabu na Ashura Kitandani
Ngali Mtili ,Mkunga Mtingere, Ngayalina Amani primary school Dodoma 1993
 
Mie nilikuwa nae mwenye jina la ajabu lakini si nick name bali ni jina lake la ukoo. Jina lake ni awkward sana
hasa kwa watu wa mkoa wa Kagera. Anaitwa "MNERO"
 
coral reef

aliitwa babu coral mpaka leo jina lake silikumbuki
 
shamba Joseph,na mwingne alikua anaitwa Tango.,hawa jamaa walikua marafiki,udsm hyo!
 
Julius Kambarage Nyerere nilisomanae shule ya msingi Mwisenge huko Mara!!
 
SHIDA KAJAMBA nilisoma naye primary
Ikitokea mtu kajamba watu watasema "Shida Kajamba" alikuwa anamaind balaa
 
SHIDA KAJAMBA
Nilisoma naye primary
Mtu akijamba utasikia "Shida Kajamba tena" alikuwa anamind balaa
 
Malongori .K. Malongori, hii ilikuwa
Makongo High School.
 
robert magoti a-not, na ebenezer kimbita
 
mangungo wa msovero kila alikuwa akikaribia kidato cha sita anaacha shule kama mwaka anaenda kuwa kondakta alikuwa anapiga nyeto hadharani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…