HahahahahaElimhooo ni kaka wa bibi yangu aisee[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Asprin ukuje huku hebu, pale kotela ndo kitovu cha hayo majina
Hahahahaha
Huyo jamaa tulisoma naye chuo bana, nikawa nadhani wanamtania!!
Babu Asprin anapajua, mamsera pale! Unashuka kwenye bar moja Asprin kuja unisaidie hapaNielekeze kwenu tu niwatume wazee walete mahari hapo[emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona yapo kama mizizi eti jamani
Mbona yapo kama mizizi eti jamani
ApaikundaApaisaria
Apaukundi...hao ni mapacha
Elingiwiriamoo, Elingisongoya
Hebu nipe maana yake basi pampula
Wachaga mna vinasaba na masai
Mmmmmhhh
Endeleaaaaa1.Nalia Namboo
2.Elizabeth Kitundu
3.Asifiwe Unyoro
4.Sopa Njoyaga
5.Rajabu Kipande
6.Ali Mayai
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] niendelee...