Ni jina gani linalokuvutia hapa jf

Muandamane kwasababu gani? Wenzako tunaongelea mambo ya msingi wewe unaanza kuleta habari za kichochezi? Au hujaelewa mleta mada anamaanisha nini?
Mwita bana.. mwenzio anamaanisha anavutiwa na nick name ya "Tuandamane"
 
Muandamane kwasababu gani? Wenzako tunaongelea mambo ya msingi wewe unaanza kuleta habari za kichochezi? Au hujaelewa mleta mada anamaanisha nini?

aisee inaonesha hupendi maandamano eeh? Jamaa alimaanisha ID ya Tuandamane nadhani.. Take it easy, lol!!
 
ashadii,kaka jambazi,excellent,husninyo, na aliye wazidi wote ni MKUU SI mana hua nawaza aliwaza nn kujiita ivo
 
Navutiwa na nanilii huyu anaepost nanilii zenyd mafunzo kwa jamii kwa ujumla
 
jf inachanganya sana. unaweza ona jina jipya kumbe yupo kitambo ila kauchuna tu. kwa mfano SPEAKER. mimi navutiwa na mtu yoyote anaye nifurahisha. na akinichukiza namchukia hapo hapo hata kama ana jina zuri kiasi gani. but id inayo heshimu id nyingine inanivutia sana. pamoja sana mwita25. Mia
 
Naona watu wanaendelea kushindwa kutofautisha kati ya 'mtu' anayekuvutia na 'jina' linalokuvutia. Nimeona watu eti wanasema oooh anayevutia ni yeyote anayenipenda, mara mwingine ooh anayenivutia ni mfupi kuliko wote. Jaribu kutofautisha ili watu wasiendelee kuwaona mambumbumbu mavilaza maboya nyieeeeeee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…