Ni jina gani unalolipenda na usilolipenda ndani ya JamiiForums?

Kahungwe

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2016
Posts
249
Reaction score
163
Ndugu wana Jamii Forum. Mimi binafisi humu nimekutana na aina mbalimbali za majina, mengine si vyepesi kujua maana yake.Mpaka najiuliza huyu mtu aliwaza nini kujiita jina hili?.Nijuavyo kwa kawaida MTU hupewa jina(huitwa) na wazazi au wakubwa zake.Lakini asilimia kubwa humu MTU anatengeneza jina lake mwenyewe na kujiita mengine kutokana na makabila yetu ukifikiria unapata tafsiri ya kushangaza na kuuzi,mengine wala hayaeleweki kabisa,vipi wewe ni jina gani humu unalipenda na ni lipi hulipendi?.Naomba jina.
 
Chadema, nachukia sana hilo jina
 
Mfano,mnyalukolokwetu ni refu mno silipendi na silielewi.
 




Kahungwe
 
Mpitaji mie[emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
Mi silipendi kahungwe kwa sababu lina post vitu vya kijinga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…