Maombi? Hapana
Pole.
Fanya maombi kwa Jina la Yesu Kristo nawe utashinda. Usiogope Majaribu hayana budi kutokea, Lakini ole wake yule atayeleta Majaribu.
Huyo Mwanamke atakuwa na shetani Dume ndilo linalo msumbuwa Mwambie aweke chini ya mto wake wa kulalia Tangawizi kavu punje moja hatoota tena ndoto mbaya iwe hiyo Tangawizi kavu Chini ya Mto kila siku asiitowe tena atumie kisha uje hapa unipe Feedback.Habari wana jf, poleni kwa kazi kubwa ya ujezi wa taifa, nina rafiki yangu wakaribu sana (mwanamke) anatatizo la kuota ndoto mbaya, anaweza kuota kama sauti inamwita kwa jina lake nje tena hua anatoka bila kujijua....alishawahi kujikuta asubuhi ameamkia bafuni, sitting room, nje barazani, na sehemu nyengine wakati usiku alilala chumbani kwake, hali hii anayo kwa mda sasa na inamtokea karibu kila siku. Mpaka ameniambia mimi alitaka nimsaidie afanye nini kuepukana na hali hiyo? Na mimi nalifikisha humu jf wenye uelewa tumsaidie huyu dada
Maombi? Hapana
Huyo Mwanamke atakuwa na shetani Dume ndilo linalo msumbuwa Mwambie aweke chini ya mto wake wa kulalia Tangawizi kavu punje moja hatoota tena ndoto mbaya iwe hiyo Tangawizi kavu Chini ya Mto kila siku asiitowe tena atumie kisha uje hapa unipe Feedback.