Basi huyo ana jini Mahaba mwambie awasiliane na mimi kwa njia ya Email yangu hii hapa fewgoodman@hotmail.com nitaweza kumsaidia.Mkuu leo nimepata majibu ya tangawizi; ameniambia bado hajaona mabadiliko yeyote na amefanya kama nilivyomuelekeza
Basi huyo ana jini Mahaba mwambie awasiliane na mimi kwa njia ya Email yangu hii hapa fewgoodman@hotmail.com nitaweza kumsaidia.
HIZI NI DALILI ZA MTU MWENYE SHETANI
UKIWA NA DALILI ZIFUATAZO TAMBUA KWAMBA UNASUMBULIWA NA MASHETANI:-
1.Kuumwa kichwa upande mmoja
2.Kujihisi unaingiliwa iwe ni ndotoni au la
3.Kutopenda ibada na unapokuwa kwenye nyumba ya ibada unahisi dhiki moyoni.
4.Kuwa na tamaa kupita kiasi na kujiona una thamani sna kinyume na ilivyo.
5.Kukosa usingizi bila sababu.
6.Kuota watu watishao
7.Kuota unapaa
8.Maneno machafu kwa mpenzi wako mukiwa pamoja na punde ni majuto.
9.Chuki ndani ya ndoa na kutamani kuacha au kuachwa
10.Kuwa dhiki mara tu umuonapo mwana ndoa mwenzako akiwa mbali unatamani kuwa nae karibu
11.Kuishiwa nguvu na hamu ya tendo la ndoa.
12.Kuwa na tamaa ya tendo la ndoa kupita kiasi.
13.Kuota unaingilia/unaingiliwa kawaida au kinyume na maumbile.
14.Kujihisi unaingilia/unaingiliwa na unajikuta umeshachafuka ndani ya usingizini !
15.Kukosekana maelewano kwa wanandoa mara kwa mara
n.k dalili zipo nyingi kwa leo tuishie hapa.
Wasiliana na mimi kwa email hapo juu kwa ufumbuzi wa matatizo hayo na mengineyo