kalisheshe
JF-Expert Member
- Mar 19, 2020
- 2,064
- 4,056
Sasa kama Unauza je unapataje faida? Au ndo unataka kuanza kuuza!?
Habari zenu wakuu!
Naomba kuuliza Ni jinsi gani ninaweza kuifanya biashara ya samaki wa mwanza (sangara) inipe faida?
Na ni maeneo gani hapa nchini biashara hii inalipa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeziuza ila ndo hvo faida kidogo sana mkuu.Sasa kama Unauza je unapataje faida? Au ndo unataka kuanza kuuza!?
Ni on mkuu tufanye huu mchongo huku nilipo tutaziuza Ni pm tuyajenge
Sent using Jamii Forums mobile app