PD_Magumba
JF-Expert Member
- Apr 2, 2021
- 722
- 2,225
niseme tu kwamba Earthing system haipo kwaajili ya kucomplete circuit,Kwa mjibu wa basics za Physics, electric current itapita na kufanya kazi kama tu kuna closed path(Complete circuit).
Kwa maana hiyo kifaa chochote cha umeme kitafanya kazi kama kipo kwenye complete circuit.
Sasa naomba kujua katika lugha ya kawaida kabisa ni jinsi gani ile earth rod kwenye mfumo wa umeme humo ardhini ina complete circuit ili kufanikisha kazi ya ku-dump excess au dangerous current (s)?
Hicho ulichonandika si sahihi mkuu, napingana nawe kuhusu ground kuwa ina complete circuit, na ground iliyopo kwenye transformer hilo sio kweli kabisa. Naomba utafakari swali langu hili: ikiwa nazalisha umeme kupitia generator kisha nikachomeka umeme kwenye main switch yangu live na neutral, je, ni kweli kwamba kama umeme utavuja na kwenda ardhini, basi CB haitatrip kwa sababu hakuna complete circuit kati ya Earthing rod yangu na generator? Unachanganya mambo mkuu, Earth rod ya transformer ina kazi nyingine nje ya kucomplete circuitkagua vizuri kwenye nguzo za transformer(inayolisha umeme kwako) utaona kuna wire wa 50mm2 wa kijani unaelekea chini, ardhini, kule chini kuna earth rod ndefu kabisa mithili ya mnazi
hii ndiyo inayopokea ile leakage current inayofyonzwa na earth rod ya home kwako, hence circuit completed
sawaHicho ulichondika ni sio kweli
Generator nyingi na hata hizi invetor za solar zina sehemu ya kufunga earth rod ila huwa hatuzingatii hiloHicho ulichonandika si sahihi mkuu, napingana nawe kuhusu ground kuwa ina complete circuit, na ground iliyopo kwenye transformer hilo sio kweli kabisa. Naomba utafakari swali langu hili: ikiwa nazalisha umeme kupitia generator kisha nikachomeka umeme kwenye main switch yangu live na neutral, je, ni kweli kwamba kama umeme utavuja na kwenda ardhini, basi CB haitatrip kwa sababu hakuna complete circuit kati ya Earthing rod yangu na generator? Unachanganya mambo mkuu, Earth rod ya transformer ina kazi nyingine nje ya kucomplete circuit boss [emoji16].
Kinacho nichanganya mimi Layman kwenye hili ni kwamba. Umeme unawezaje kuflow mpaka ardhini kupitia hiyo earth rod pasipo na complete circuit?Hicho ulichonandika si sahihi mkuu, napingana nawe kuhusu ground kuwa ina complete circuit, na ground iliyopo kwenye transformer hilo sio kweli kabisa. Naomba utafakari swali langu hili: ikiwa nazalisha umeme kupitia generator kisha nikachomeka umeme kwenye main switch yangu live na neutral, je, ni kweli kwamba kama umeme utavuja na kwenda ardhini, basi CB haitatrip kwa sababu hakuna complete circuit kati ya Earthing rod yangu na generator? Unachanganya mambo mkuu, Earth rod ya transformer ina kazi nyingine nje ya kucomplete circuit boss 😁.
Upo sahihi, lakini nachopinga mm ni kuwa iyo Earth ya generator ina complete circuit na Earth rod ya nyumba (mtumiaji) ilo tu ndio napinga mimi mkuu.Generator nyingi na hata hizi invetor za solar zina sehemu ya kufunga earth rod ila huwa hatuzingatii hilo
TT SYSTEMUpo sahihi, lakini nachopinga mm ni kuwa iyo Earth ya generator ina complete circuit na Earth rod ya nyumba (mtumiaji) ilo tu ndio napinga mimi mkuu.
TT SYSTEM ndo nini mkuu? tupe madinitt system
TT SYSTEM
jibu la kilayman ni kwamba umeme unaokwenda kule unatupwa kwa kubadilishwa form nadhani joto.ndio sababu wanaweka ile nondo ya shaba baada ya waya kuingia ardhini.Kinacho nichanganya mimi Layman kwenye hili ni kwamba. Umeme unawezaje kuflow mpaka ardhini kupitia hiyo earth rod pasipo na complete circuit?
Earth wire ni chombo cha usalama cha kumlinda mtumiaji wa umeme pale ambapo chombo anachokitumiaKwa mjibu wa basics za Physics, electric current itapita na kufanya kazi kama tu kuna closed path(Complete circuit).
Kwa maana hiyo kifaa chochote cha umeme kitafanya kazi kama kipo kwenye complete circuit.
Sasa naomba kujua katika lugha ya kawaida kabisa ni jinsi gani ile earth rod kwenye mfumo wa umeme humo ardhini ina complete circuit ili kufanikisha kazi ya ku-dump excess au dangerous current (s)?
Weka clear kidogo, huo waya wa nne kutoka kwenye transformer unaodai unacomplete circuit ya earthing system unaitwaje?(L, N au G?)ule waya wa nne ndo unaofanya kazi hiyo uliyoiita kucomplete circuit.
Weka clear kidogo, huo waya wa nne kutoka kwenye transformer unaodai unacomplete circuit ya earthing system unaitwaje?(L, N au G?)
Mkuu kuhusu mpira naipenda sana Yanga.Wewe acha kushabikia yanga ndio utaelewa!
View attachment 2977532
Na ili kukuchanganya zaidi, jifunze hii mifumo inayotumika kutengeneza Transformer na pia kusuka AC motors
Delta- Wye
View attachment 2977547
Wye - Delta
View attachment 2977549
Wye - Wye
View attachment 2977550
Mkorintho hapa naweza kukubaliana na wewe (it makes sense). Itapendeza mkuu ukifafanua kidogo ya kua ni vipi inawezekana ku-convert electrical energy into other form of energy with only Live as input to the converting device(sytem).jibu la kilayman ni kwamba umeme unaokwenda kule unatupwa kwa kubadilishwa form nadhani joto.ndio sababu wanaweka ile nondo ya shaba baada ya waya kuingia ardhini.
wanashuri hiyo copa zaidi na sio msumari au nondo kama akina fundi maiko wanavyofanyaga kirahisisha mambo.
Haya nijie hapa....Kuhusu hizo electrical circuits (including Delta na Star) na hata Electrical Energy Production and Supply niko nondo sana theoretically.
Wapi kwenye electrical systems yeyote inasema earthing system inakamilisha circuit?, hii umetoa wapiJe, earthing system ususani kwenye domestic electrification ina complete circuit au haina complete circuit?
Maelezo mazuri sana mkuu lakini nahisi hujaelewa swali langu. Si maanishi kwamba earthing system inakamilisha circuit kwenye nyumba.Haya nijie hapa....
Nikitaka kufunga Three phase motor iendeshe mtambo unaohitaji umeme mwingi katika kuanza mzunguko na baadae ikisha changaya ibadilishe na kutumia umeme wa kawaida au vice versa, niifunge kwa mtindo upi na kutumia vifaa gani ?
Wapi kwenye electrical systems yeyote inasema earthing system inakamilisha circuit?, hii umetoa wapi
Kwenye kukamilisha circuit ni pale tu, nyumba yako ina earthing systems na kifaa chako cha umeme kinachotumia earthing pin kina hitilafu ya live wire imegusa conducting parts na kuweza kukulinda mtumiaji kwa kukusanya hio leakage current na kupeleka kwenye ground, na kama nyumba yako ina Earth Leakage Circuit Breaker, hii tayari ingeshakuwa imezima umeme kama ukichomeka kifaa chenye hitilafu ya earth.
Earthing system inatumika kwa vifaa vya aina ya Class 1 Electrical devices (nenda kajifunze hii)- Pasi, Jiko, Fridge...
Kwa sababu kuna vifaa vingi tu vingine visivyohitaji earthing connection, hivi vinaitwa Class 2 Electrical device(kajifunze hii), Radio, TV.......
Earthing ni jukumu lako kujilinda, unapojenga nyumba, lazima uwe na hii na kisheria (angalia picha), na pia inasaidia kuzuia static electricity inayotokana na radi(lightining) ama sivyo nyumba yako itawaka moto.
View attachment 2977662
View attachment 2977663