Ngoja tukae kimya...hawachelewi kuita watu Sukuma gang...and is this is just a begining.Ndani ya miezi 12 tumeona mifumuko ya bei kuanzia bei ya mkate, unga, nyama hata nauli ya basi. Wengine wameamua kurudi kijijini kwa ugumu wa maisha na wengine wamehamia kwa ndugu kupunguza makali ya kodi ya nyumba.
Ukweli halisi matabaka yote ya watu yanahitajika mjini ili maisha yaende leo. Sisi wapika maandazi tuna umuhimu katika kundi la watu wa kipato fulani, wakila maandazi mawili na maji wanamshukuru Mungu na siku inapita kesho wanakwenda kwa matajiri kutafuta kibarua.
Mfumuko wa bei umebadilishaje maisha yako?
Mkuu mbona zambia masela wangu wako huko life wanasema liko chini sana..vitu bei chini sanaBora Tanzania. Nipo hapa ndola wali maharage ni kwacha 40 ni sawa na tsh 5500. Daladala kutoka town hadi indeke (km 6) ni kwacha 10 ni tsh 1380.
Nyanya fungu zikiwa tatu ni kwacha 10 = tsh 1380. Coca cola ndogo ya chupa ml 300 ni k7 = tsh 972. Mkate gram 500 ni k 17 = tsh 2360.
Pole yake angesoma yasingemkuta haya yoteJirani yangu mke wake alijifungua mapacha mwaka wa jana, mwaka huu wamepata tena mapacha watatu. Gharama za hospitali ilibidi baba yake auze ng’ombe.
Maisha yao ni katika chumba na sebule, jamaa kila akipiga mahesabu ya familia ya watu saba ndani ya chumba na sebule. Ameamua arudi kijijini mzee amkatie shamba na kumkopesha mifugo.
Wazambia wanapiga ugali kutwa mara tatu. Asubuhi unaliwa ugali ndiyo Wazazi wanakwenda kazini na watoto mashuleni.Mkuu mbona zambia masela wangu wako huko life wanasema liko chini sana..vitu bei chini sana
Sent from my SM-M305F using JamiiForums mobile app
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Hapana dada angu Sky Eclat sizungumzii mapacha nazungumzia ugumu wa maisha kwamba angesoma angekuwa na kazi nzuri ofisini yenye mshahara mnonoWaliosoma huwa hawazai mapacha?
Wanakudanganya ili uwaone mambo safi. Zambia maisha yapo juu sana.Mkuu mbona zambia masela wangu wako huko life wanasema liko chini sana..vitu bei chini sana
Sent from my SM-M305F using JamiiForums mobile app
Kuna wasomi wengi tu huku kwetu Kwamtogole wanakaanga mihogo, tena wanajua kweli ku budjeti nyanya za kachumbari.[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Hapana dada angu Sky Eclat sizungumzii mapacha nazungumzia ugumu wa maisha kwamba angesoma angekuwa na kazi nzuri ofisini yenye mshahara mnono
Hao ni wa vijijini. Wa mjini wanapiga moja bila. Ugali na washawashaWazambia wanapiga ugali kutwa mara tatu. Asubuhi unaliwa ugali ndiyo Wazazi wanakwenda kazini na watoto mashuleni.