Ni jinsi gani msanii anaweza kujisajili BASATA?

Ni jinsi gani msanii anaweza kujisajili BASATA?

CARIFONIA

JF-Expert Member
Joined
Aug 17, 2013
Posts
616
Reaction score
1,453
Jamani nilikua naomba kujua ni jinsi gani msanii anaweza kujisajili katika Baraza la Sanaa na Utamaduni (BASATA),ili aweze kutambulika rasimi na kuweza kulinda haki za kazi zake.

Kwa mwenye ufahamu naomba anieleweshe.
 
Wasiliana na sehemu husika naamini utafanikiwa
 
Back
Top Bottom