CARIFONIA JF-Expert Member Joined Aug 17, 2013 Posts 616 Reaction score 1,453 Jun 9, 2020 #1 Jamani nilikua naomba kujua ni jinsi gani msanii anaweza kujisajili katika Baraza la Sanaa na Utamaduni (BASATA),ili aweze kutambulika rasimi na kuweza kulinda haki za kazi zake. Kwa mwenye ufahamu naomba anieleweshe.
Jamani nilikua naomba kujua ni jinsi gani msanii anaweza kujisajili katika Baraza la Sanaa na Utamaduni (BASATA),ili aweze kutambulika rasimi na kuweza kulinda haki za kazi zake. Kwa mwenye ufahamu naomba anieleweshe.
Marlex Jr El JF-Expert Member Joined Nov 6, 2015 Posts 1,819 Reaction score 2,415 Jun 9, 2020 #2 Kwann usiende BASATA moja kwa moja?
cocastic JF-Expert Member Joined Nov 30, 2019 Posts 96,456 Reaction score 156,324 Jun 10, 2020 #3 Wasiliana na sehemu husika naamini utafanikiwa