Ni jinsi gani naweza kuangalia mechi za EPL kwenye simu?

Mavindozii

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2012
Posts
2,111
Reaction score
2,781
Hello Waungwana .Naomba mwenye kujua link ya kuangalia mpira wa Epl anijulishe please.
ASANTENI sana,
 
Pakua MOBDRO apk kwenye google na fanya installation kwenye simu yako. Kama inakusumbua nenda playstore na na pakua app inaitwa Live Football tv
 
Embu nirushie link boss nikienda kwenye Mobdro zinakuja Mobdro nyingi sana sasa sijui Ni ipi mkuu .
 
Chagua the latest version. Nadhani imetoka kati ya Juni au August 2018. Utaangalia kila mechi hadi UEFA + Europa
 
Achana na mobodro iko slow sana tumia live football TV ya waarabu haina sracth wala nini iko poa sana afu ni chimbo jipya watu kibao hawalijui hili chimbo.
 
Ipo vizuri zaidi ya mobdroo??????
 
Mkuu mimi naishi mamton internet ni monthly how daily. Sijui kwa kweli mambo ya mb. Nadhani GT wengine wataleta mawazo yao
Doooh nilimaanisha mechi moja ina consume Megabyte kiasi gani. Mkuu kwani we ndio mzee wa Copenhagen???😳😳
 
Chagua the latest version. Nadhani imetoka kati ya Juni au August 2018. Utaangalia kila mechi hadi UEFA + Europa
Nilikua nayo Mobdro ila ikafungiwa ikawa haionyeshi game yoyote. Kumbe imeanza kufanya kazi tena?
 
Achana na mobodro iko slow sana tumia live football TV ya waarabu haina sracth wala nini iko poa sana afu ni chimbo jipya watu kibao hawalijui hili chimbo.
Vipi lugha kiingereza kipo? Nina ya kiarabu kuanzia maandishi mpaka matangazo ya mpira uwanjani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…