Ni jinsi gani naweza ongeza thamani na kupanua soko?

king Mniko

Member
Joined
Apr 15, 2016
Posts
98
Reaction score
34
Habari ndugu, mimi ni kijana mjasiriamali nipo Nzega-Tabora, nauza karoti kwa rejareja na jumla, pia nasambaza kwa wauzaji wa masoko mengine kama kahama, Igunga, Tabora mjini. Nifanyeje ili niweze kuongeza soko na dhamani.

Natamani kuwafikia wafanya biashara wa Dodoma, Singida, Shinyanga na Mpanda japo mikoa hii ya jirani.

Ndugu naomba nifundisheni mbinu ili niweze kukua kibiashara pia napenda kufahamu bei ya gunia la karoti kwa Dodoma, Singida, na Mwanza. Kama kuna mtu anahitaji ili tuwe wasiliana niwe nampa mzigo , asisite kufanya mawasiliano ili tufanye biashara.
 
Ukitaka kuongeza thamani, tengeneza juisi ya karoti au lotion ya karoti. Kazi kwako boss
 
Habari ndugu, mimi ni kijana mjasiriamali nipo Nzega-Tabora, nauza karoti kwa rejareja na jumla, pia nasambaza kwa wauzaji wa masoko mengine kama kahama, Igunga, Tabora mjini. Nifanyeje ili niweze kuongeza soko na dhamani.

Natamani kuwafikia wafanya biashara wa Dodoma, Singida, Shinyanga na Mpanda japo mikoa hii ya jirani.

Ndugu naomba nifundisheni mbinu ili niweze kukua kibiashara pia napenda kufahamu bei ya gunia la karoti kwa Dodoma, Singida, na Mwanza. Kama kuna mtu anahitaji ili tuwe wasiliana niwe nampa mzigo , asisite kufanya mawasiliano ili tufanye biashara.
0658438825 nicheki humu fasta

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom