Ni jinsi gani ya kumfanya mwanamke apate raha/afike kileleni pasipo kujamiiana?

bishankara

Senior Member
Joined
Feb 21, 2012
Posts
140
Reaction score
8
Uko kitandani na mke wako, leo hamtaki kukutana kimwili lakn unapenda mkeo afurahie uwepo wako kitandani. Njia gani itumike?
 
mfanyie maombi, atafika tu.....
 
Ma di.ldo na ma toy mengine mengi tu yanauzwa kufurahia mengi. Usiwe na wasi wengi wajuao mapenzi wanafanya kuongeza utundu na utamu kwenye ndoa zao. Si unajua kama hamna aibu mkiwa wote hapo ndipo pananoga mnajiachia.

Mkeo atafurahia sana, keep it up.
 
Ni kuwa na mda mwingi wakumgusa maeneo yake ya mwili hasa yale husika yanayomfanyaga anawehuka ila tatizo litakua kwako ikiwa mzee atakua wima wima kumuacha ni ngumu unles otherwise!
 
kumuandaa mwanamke bila kudu huwa anaye umia niyule anaye mwandaa mwenzake,
 
Usisahau madaktari wa Jukwaa la Kikubwa, kuna mafundi wa tatizo lako kule - wao chungwa linaitwa chungwa ila hapa kuna tafsida.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…