Kwanza huyo Muoaji akapimwe Akili upesi lakini huyo Shangazi yake kama yupo akamatwe na itapendeza zaidi akianza Maisha yake mapya Prison.Habari zenu waungwana,
Kuna binti kaniomba msaada ila nashindwa kwa sababu ya umbali.
Tatizo lake ana umri wa miaka kumi na tano ila ameolewa kwa nguvu sababu wazazi wake wametangulia mbele za haki, namaanisha wamekufa wote -- baba na mama yake. Aliyekuwa anaishi naye ni shangazi yake ndiye ambaye ameozesha kwa nguvu.
Sasa ananiomba msaada ila yupo mbali amesema yupo Mkundi. Je, tunamsadiaje mume ana umri wa miaka 37 Mwanamke miaka 15 nachotaka mnipe ushauri ili tumsaidie kisheria au apate msaada.
Hili ndio jibu sahihiAkaripoti polisi huo ni ubakaji.
Au aende ustawi wa jamii
Si kweli mbona Jokate alikuwa na wanaume kibao huko nyuma, na sasa yuko na Msukuma nambari moko wa hapa nchini?Aliyeoa atakua msukuma,hawajamaa hawapendi bidhaaa used
We unataka uoe binti wa miaka mingap?Hili ndio jibu sahihi
Mimi kwako nimefika my wangu, nyongo mkalia ini.We unataka uoe binti wa miaka mingap?