Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
angalia chini kushoto ku namba ya huyo jamaa
ahsantee bossHuwa kuna Software kama unatumia Komputa na kama hutumii basi kuna kuandika kila unacho uza hadi pipi.
Manunuzi ni rahisi sana kwa sababu utaomba risiti. Ila kwa mauzo ni kuandika au kutoa rusiti kwa kila bidhaa unayo uza.
Nzuri kurecord inagwa nayo watu huwa wanasahau hasa kama wateja ni wengi sana.
Unatakiwa kufanya mazoezi ya kurecord na kuna njia kadhaa za kutake record
mkuu tuwasiliane hiyo system sisi tunayo tutakusaidia vyema kabisa!Wajuvi,
Niko na shida naomba kuuliza njia gani naweza tumia kurekodi mauzo na manunuzi ya vitu kwenye biashara (duka). Ili niweze kujua nimepata faida au hasara kubwa or ndogo.