Ni jinsi gani ya kurekodi mauzo na manunuzi?

Vanree

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2017
Posts
222
Reaction score
177
Wajuvi,

Niko na shida naomba kuuliza njia gani naweza tumia kurekodi mauzo na manunuzi ya vitu kwenye biashara (duka). Ili niweze kujua nimepata faida au hasara kubwa or ndogo.
 
Huwa kuna Software kama unatumia Komputa na kama hutumii basi kuna kuandika kila unacho uza hadi pipi.

Manunuzi ni rahisi sana kwa sababu utaomba risiti. Ila kwa mauzo ni kuandika au kutoa rusiti kwa kila bidhaa unayo uza.

Nzuri kurecord inagwa nayo watu huwa wanasahau hasa kama wateja ni wengi sana.

Unatakiwa kufanya mazoezi ya kurecord na kuna njia kadhaa za kutake record
 
Ngoja nikuitie jamaa mmoja hivi akija hapa atajibu maswali yako yote
 
Sayd Fuad"unit_id_click_type"%3A"graph_search_results_item_in_module_tapped"%2C"click_type"%3A"result"%2C"module_id"%3A0%2C"result_id"%3A100000776403445%2C"sid"%3A"942b99b6cb89c3be456b31cddddb4493"%2C"module_role"%3A"NONE"%2C"unit_id"%3A"browse_rl%3A9d35c124ce2db4f30928cd5670e06f73%3Ac1"%2C"browse_result_type"%3A"browse_type_user"%2C"unit_id_result_id"%3A100000776403445%2C"module_result_position"%3A0%7D
 
Mkuu jaribu kuingia kwenye hiyo link wasiliana na huyo jamaa saidfuad

Muulize suali lako atakujibu na hata ukihutaji program yake
 
Hee maprof wanafundisha hii kitu miaka wee unataka hapa tu?
 
ahsantee boss
 
Mkuu Tuwasiliane 0743497079 Niweze kukutengenezea sytem ambayo utakuwa una - record pia utaweza kujua kila siku umepata faid ya shingapi, tuwasiliane mkuu nikupe muonozo zaidi
 
Wajuvi,

Niko na shida naomba kuuliza njia gani naweza tumia kurekodi mauzo na manunuzi ya vitu kwenye biashara (duka). Ili niweze kujua nimepata faida au hasara kubwa or ndogo.
mkuu tuwasiliane hiyo system sisi tunayo tutakusaidia vyema kabisa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…