Ni juice ipi ya machungwa ambayo ni real

Ni juice ipi ya machungwa ambayo ni real

mathsjery

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2015
Posts
2,249
Reaction score
1,813
Naomba kufahamu juice ya machungwa ambayo haijachakachuliwa nataka iwe ya kiwandani, sitaki ya kujitengenezea.

Inaitwaje? Full machungwa au??.
 
[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji1787]
 
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Mkuu unaulizia BIKRA Kwenye wodi ya wazazi!......

Huko kiwandani hakuna pure nature juice (Sharubath!)...

May B Utengeneze mwenyewe!!!!!!!![emoji849]
 
Mkuu unaulizia BIKRA Kwenye wodi ya wazazi!......

Huko kiwandani hakuna pure nature juice (Sharubath!)...

May B Utengeneze mwenyewe!!!!!!!![emoji849]
Duh sasa hivi kukata kata nayo ni kazi Dah!
 
Hiyo juice haipo,lazima wachanganye matunda mbalimbali ili kuweka ladha tofautitofauti
 
Kanunue “Peak n Peal” juice zinatoka Kenya, Orange huwa ni Nzuri kama zile za kwenye ndege!
 
Back
Top Bottom