Machungwa JuiceNaomba kufahamu juice ya machungwa ambayo haijachakachuliwa nataka iwe ya kiwandani, sitaki ya kujitengenezea.
Inaitwaje? Full machungwa au??.
Jitahid mkuu!! Ama Nipe Mualiko Nitakuja kukusaidia mpka juice nakuwekea mezani[emoji6]Duh sasa hivi kukata kata nayo ni kazi Dah!