Inog01
JF-Expert Member
- Mar 26, 2015
- 1,291
- 1,961
Mambo vipi wanachit chat.Bila shaka mko Salama.
Kupitia Uzi huu hebu tueleze ukweli ni jukwaa gani ukiingia JF lazima liwe la kwanza kuperuzi??.
Naanza na Mimi mwenyewe .Binafsi kuna vitu huwa navizingatia sana ninapoingia JF hasa mda na Lengo la kuingia humu.
Mfano nikiwa na mda wa kutosha kuperuzi humu kwanza huwa naanza na jukwaa la Habari mchanganyiko ili nipate Updates halafu baada ya hapo naenda kwenye majukwaa yangu pendwa kama ,Jamii Intelligence ,jukwaa la siasa,na mengine mengi .Majukwaa ya lugha ya kigeni kwa kweli ni nadra sana kupitia huko.
Lakini kuna mda huwa nalazimika kwenda kwenye jukwaa maalum moja kwa moja itategemea nataka nipate taarifa za jambo gani,kama ni elimu,afya au mambo ya kiuchumi basi huwa nalenga jukwani moja kwa moja.
....Naomba kuwapa nafasi wana jukwaa wengine wajimwage kutueleza vipaumbele vyao,na wakituambia sababu itapendeza zaidi.Karibuni