Ni Jukwaa gani hasa Ukiingia JF ni la kwanza kuingia

Yaani nikifika tu JF ni moja kwa moja kwenye uzi wa mapichapicha wa Mshana Jr pasipo kupoteza muda. Maana ukichelewa tu utakuta wadau wameweka picha na kufuta. Wajanja sana jamaa!... Hahaha
Mzee mpaka upite kote huko siku si inaisha hahahah
 
Jukwaa la kwanza huwa ni MMU, na muda ukiruhusu chitchat. Jukwaa ambalo silipendi ni jukwaa la siasa.
 
Route inaanzia Habari mchanganyiko , then celebrities, nikimaliza napanda juu chit chat hapo naweza kuzunguka randomly ila mwisho lazima nimalizie jukwaa la WAHENGA.
 
Jukwaa lisilojulikana ndo la kwanza kabisa kuperuzi,den namalizia jamii photos kwenye Uzi wa mshana Jr......nimesahau kidogo.narudi tena jukwaa lisilojulikan until cmu iishe charge+bundle...OVER...🚢🏿🚢🏿🚢🏿
NB:huku chitchat nimekosea njia kwa kweli....πŸ™ŒπŸΏ
 
Always nikiingia JF naangalia What's new au New posts.....
 
[emoji44][emoji44][emoji44][emoji848][emoji848][emoji848][emoji144][emoji144][emoji144][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
[emoji849][emoji16]ngoja nikachekee mbele ya safari...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji125][emoji125][emoji125][emoji1544]
 
Yani Moja kwa Moja kwa wazee wenzangu wa kuweka mizigo mizito siku hizi tunaitwa maofisaa πŸ˜† mpaka uwe na angalau na D mbili ndo utanielewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…