Ni jukwaa gani siku haiwezi kuisha bila kulipitia hapa JF

Ni jukwaa gani siku haiwezi kuisha bila kulipitia hapa JF

Mtetezi.com

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2016
Posts
3,134
Reaction score
3,584
Jf ya sasa imebadilika sana kwa mfano;

1, MMU limekuwa la visa vya mapenzi vya kutunga and not real stories
2, Chit chat imekuwa na story za kubuni
2, Jf Doctor imekuwa ya mapovu tu hakuna ushauri wala msaada wa kitabibu
3, Political forum limekuwa la kichama zaidi na si katika sayansi ya siasa

Hivyo binanafsi mimi siwezi lala bila kuliperuzi jukwaa la wakubwa JLW kwakuwa ndio jukwa pekee ninaloliona watu wapo real ktk wanavyovipost

Na wewe je?
 
hilo jukwaa la wakubwa wengi wetu ni nadharia tuu, inawezekana ht mtoa mada halijui.
MMU ndo rafiki yangu.
 
Mapenzi yana-run dunia

Hiyo namba moja naizungukia sana.
 
Back
Top Bottom