Shida na raha
JF-Expert Member
- Aug 8, 2014
- 3,773
- 3,471
Kuna makabila yanapenda kukutania wewe tu,.. Ukijichanganya kuwatania wao wanakua na povu la karibu mno.
Siku ambazo niliwahi kutembea bongo kikazi na binafsi niliyagundua haya....
Wale wazee wa chalii yangu.
Wale wazee wa chamaki mchanga.
Wale wazee wa aroo rirete iroo.
Hayo ndo nilibahatika kuyajua mapema mnooo. Sijui kama kuna mengine unaweza kunikumbusha.