BLACK MARXIST
JF-Expert Member
- Nov 1, 2013
- 2,462
- 5,368
Hatukuungi mkono mzee baba.Nimefanya uchunguzi wangu binafsi nimeona na kujiridhisha pasi na shaka kwamba nyuso za watanzania zimefunguka!! Kuna ki faraja fulani ndani yao. Vijiwe vingi sasa vinaanza kuongea mambo ya matumaini...
Ni kama nchi imepata uhuru vile !! Kuna kitu kwa kweli kimo ndani ya hawa watanzania.
Nafikiri hata na nyie wenzangu mmeona wenyewe hali ya nchi ilivyo kwa hizi siku tatu nne....
Watalaam wa saikologia ya binadamu pia wataniunga mkono....
HakikaNimefanya uchunguzi wangu binafsi nimeona na kujiridhisha pasi na shaka kwamba nyuso za watanzania zimefunguka!! Kuna ki faraja fulani ndani yao. Vijiwe vingi sasa vinaanza kuongea mambo ya matumaini...
Ni kama nchi imepata uhuru vile !! Kuna kitu kwa kweli kimo ndani ya hawa watanzania.
Nafikiri hata na nyie wenzangu mmeona wenyewe hali ya nchi ilivyo kwa hizi siku tatu nne....
Watalaam wa saikologia ya binadamu pia wataniunga mkono....
Watanzania wa wap hao? Mimi mbona sikushangilia alipoingia John?Watz bana alipoingia Mkapa walishangilia na kupiga vifijo, alipoingia Kikwete walishangilia na kupiga vifijo, akaingia John pia walipiga vifijo na kushangilia na sasa Mwana mama wanampigia vifijo na kushangilia. Baada ya muda watakuja tofauti.
Tatizo unapojiona umeelewa sana kumbe hujaelewa kitu! Kinachozungumzwa hapo si kufiwa au chochote, wewe ni mtanzania wa wapi? Ambaye huelewi ?Hatukuungi mkono mzee baba.
Je, unaongelea watanzania wa mkoa wa jamii forum? Yaani mkoa unaofikirika tu na upo mtandaoni. !!!
Sasa sisi watanzania wa mikoa halisi twafurahishwa na Nini kwa sasa?.
Je, ni kufiwa na rais wetu wa awamu ya tano?.
Je, Ni kupata rasi mpya katika mazingira ya kufiwa?
Je, Ni report ya CAG,
Je, Ni ubaya unaotajwa dhidi ya hayati raisi wa awamu ya tano?
Ee mtoa mada, kweli haya ndiyo mambo ambayo unafikiri watanzania twayafurahia, Kama jinsi uyafurahiavyo wew ulie mjinga Kama mke wa Ayubu ???!!!!;!
Ni kama nchi imepata uhuru vile !! Kuna kitu kwa kweli kimo ndani ya hawa watanzania.[emoji1534][emoji1534][emoji1548][emoji1548][emoji1548][emoji1752][emoji1752][emoji1752]Nimefanya uchunguzi wangu binafsi nimeona na kujiridhisha pasi na shaka kwamba nyuso za watanzania zimefunguka!! Kuna ki faraja fulani ndani yao. Vijiwe vingi sasa vinaanza kuongea mambo ya matumaini...
Ni kama nchi imepata uhuru vile !! Kuna kitu kwa kweli kimo ndani ya hawa watanzania.
Nafikiri hata na nyie wenzangu mmeona wenyewe hali ya nchi ilivyo kwa hizi siku tatu nne....
Watalaam wa saikologia ya binadamu pia wataniunga mkono....
๐๐๐no hatari hata mm nimeligundua hilo,kupitia viongozi waliobaki sasa kama ndugai,kingwangala na wengine walivyogeuka ghafla.Mi kitu nilichojifunza ni "heri kumfadhili mbuzi,utakunywa hata mchuzi..lakini si kumfadhili binadamu,binadamu si mtu mzuri" hili nimejifunza,na nitaitumia ktk maisha yangu kama kanuni,kuanzia juzi simuamini binadamu yoyote aisee
Hapana Mkuu, nafikiri way forward ya Mama pamoja na riport ya CAG imeamsha hamasa hiibiashara zimefunguka za kuuza unga na wafanyabiashara haramu wadanganyifu ndio nyuso zimefunguka
Ilikua watu tunaogopa kukomenti mana utapewa kesi ya uhujumu uchumi
Mkuu yote unayo sema ni kweri kabisa,lakini upande wangu ni mapema sana kufurahia,mm kwa sasa si muamini mwana ccm yoyote,kipindi cha uchaguzi nilikua upande wa ccm ila baada ya mgufuli kufa nimegundua kumbe hawa ccm ni wanafiki sana,kwa nini walituaminisha kua magufuli kafanya mambo mengi sana,wote tulisikia zikiletwa hoja bungeni za tutamuongezea mda atake asitake tuta mlazimisha,leo magufuli kafa hao hao wana geuka tena wana aanza kumshambulia,walikua wana maanisha nini kumsifia sana kias hicho?nawaomba watanzania wenzengu tuikatae ccm na mambo yao ni wachawi kabisa wapo kwa ajiri ya matumbo yao tu.Nimefanya uchunguzi wangu binafsi nimeona na kujiridhisha pasi na shaka kwamba nyuso za watanzania zimefunguka!! Kuna ki faraja fulani ndani yao. Vijiwe vingi sasa vinaanza kuongea mambo ya matumaini...
Ni kama nchi imepata uhuru vile !! Kuna kitu kwa kweli kimo ndani ya hawa watanzania.
Nafikiri hata na nyie wenzangu mmeona wenyewe hali ya nchi ilivyo kwa hizi siku tatu nne....
Watalaam wa saikologia ya binadamu pia wataniunga mkono....
Umejibu vema , na kwa point zako kuna chembechembe za ukweli , lakini ukweli wenyewe Bado, kwa kuzingatia point nilizotoa .Tatizo unapojiona umeelewa sana kumbe hujaelewa kitu! Kinachozungumzwa hapo si kufiwa au chochote, wewe ni mtanzania wa wapi? Ambaye huelewi ?
Kwahiyo unataka kusema tungetakiwa kuendelea vile siyo?, hakuna uhuru wa maoni, hakuna uhuru wa habari, kila siku ni kusifia vingine visivyo na msingi, viongozi walifika hatua ya kutishia wananchi hadharani na serikali yako unayoipigania ikakaa kimya
Kama kiongozi wa nchi kadiriki kusema ilifika hatua hela zikawa zinachukuliwa kwa nguvu, wafanyabiashara wanakimbia nchi, wewe ni nani unayeikataa auheni iliyopo sasa angalau kidogo?
Tulifika pabaya mno.....
SIKU ZOTE HAKI YA MTU HUPATIKANA TU HAIJALISHI NI LINI IJAPOKUWA ITACHELEWA, ILA 100% ITAPATIKANA
Hakuna alilotuweza, mpuuzi tu yule.Kwa kweli tumepata uhuru. Hata kwenye makundi ya WhatsApp unaona waliokuwa wanaogopa kabisa kuchangia chochote kwenye mijadala, sasa wanafunguka.
Mpaka wabunge pale mjengoni nao wamepata uhuru.....tukianza na Mh 'Supika'.
JPM alituweza kweli!