johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Umenikumbusha escrow hadi akapelekwa likizo!Nature will always do its work!!
Unapokaribia uchaguzi wa kubadilisha Rais kule CCM akina Yuda Iskarioti huongezeka sana!Ndungai hana cha kupoteza. Alijipendekeza 2015-2020 ili asikatwe. Na anastaafu 2025 kwahiyo anahakikisha anastaafu vizuri. Ndani ya CCM hakuna anayemwelewa Jiwe.. Ngoja ifike 2024 ndiyo atawajua wana CCM
Ilitakiwa KUB wa wakati ule aipinge!Kwani hiyo sheria ya Bodi ya Mikopo ya kukata asilimia 15 wakati inapitishwa yeye si ndio aliongoza wabunge wa CCM kuipitisha kwa kura ya ndiooooo.
Hata CAG alieshauri hiyo sheria ni mbovu si walimuondoa kwa mizengwe badala ya kufanyia kazi ushauri aliokuwa anawapa juu ya mambo mbalimbali.
Ndio chama kilichokusomesha!CCM ni lichama la ajabu sana.
Duh..Binafsi nimeridhishwa sana na utendaji wa Spika Ndugai katika mkutano wa bunge unaofungwa leo.
Ndugai ameweza kuikosoa serikali katika baadhi ya mambo yakiwemo ajira kwa vijana, riba kubwa kwenye mikopo ya elimu ya juu, SUA kuacha majukumu yake ya msingi na kuanza kufundisha walimu wa sekondari na hata kuwakemea " kimtindo" wabunge wanaopiga makofi kama walevi bungeni.
Pamoja na kwamba bunge hili halina KUB japo wabunge wa upinzani wamo kiukweli Ndugai ameziba pengo la KUB.
Maendeleo hayana vyama!
Kwahiyo KUB ni shetwani?!Duh..
Hata Sheitwani huwa ana wapambe wake🙄
Binafsi nimeridhishwa sana na utendaji wa Spika Ndugai katika mkutano wa bunge unaofungwa leo.
Ndugai ameweza kuikosoa serikali katika baadhi ya mambo yakiwemo ajira kwa vijana, riba kubwa kwenye mikopo ya elimu ya juu, SUA kuacha majukumu yake ya msingi na kuanza kufundisha walimu wa sekondari na hata kuwakemea " kimtindo" wabunge wanaopiga makofi kama walevi bungeni.
Pamoja na kwamba bunge hili halina KUB japo wabunge wa upinzani wamo kiukweli Ndugai ameziba pengo la KUB.
Maendeleo hayana vyama!
Kaisambaratisha Chadema huyu Jemedari!
Lakini wewe unafuatilia!Anajitahidi bonge lionekane linakosoa sirikali kuliko enzi za wapinzani machachari... Sasa limekuwa la malalamiko tuu bila masuluhisho ukizingatia mshikanchi halizingatii anafanya anavyoona yeye basi nikakikundi ka porojo za wavaa suti na kutafuna fedha za umma.
Wenye welewa hawawafuatilii wala hawajui kama wanakutana
2024 ni mbali, mabadiliko yapo njianiNdungai hana cha kupoteza. Alijipendekeza 2015-2020 ili asikatwe. Na anastaafu 2025 kwahiyo anahakikisha anastaafu vizuri. Ndani ya CCM hakuna anayemwelewa Jiwe. Ngoja ifike 2024 ndiyo atawajua wana CCM
Tena Ndugayi akiwa Spika,Unamfurahia mtu anayejitekenya na kucheka mwenyewe!....