Ni kampuni gani nzuri inayosambaza internert majumbani na kwa gharama nafuu Dodoma

Ni kampuni gani nzuri inayosambaza internert majumbani na kwa gharama nafuu Dodoma

Wilhelm Johnny

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2016
Posts
1,368
Reaction score
1,325
Wakuu naombeni kujuzwa Dodom ni kampuni gani nzuri inayosambaza internert majumbani na kwa garama nafuu. Mana kuna kampuni wamenifungia naona hasara tu wameniuzia Mbps 2 ila naona hata hata Kbps 500 haifiki si utapeli huu waungwana.
 
Mkoa wa kilimo huo,mambo ya internet sio mahala pake hapo.
 
Back
Top Bottom