Wilhelm Johnny JF-Expert Member Joined Jan 13, 2016 Posts 1,368 Reaction score 1,325 Oct 28, 2021 #1 Wakuu naombeni kujuzwa Dodom ni kampuni gani nzuri inayosambaza internert majumbani na kwa garama nafuu. Mana kuna kampuni wamenifungia naona hasara tu wameniuzia Mbps 2 ila naona hata hata Kbps 500 haifiki si utapeli huu waungwana.
Wakuu naombeni kujuzwa Dodom ni kampuni gani nzuri inayosambaza internert majumbani na kwa garama nafuu. Mana kuna kampuni wamenifungia naona hasara tu wameniuzia Mbps 2 ila naona hata hata Kbps 500 haifiki si utapeli huu waungwana.
Baba Rhobi JF-Expert Member Joined Nov 4, 2020 Posts 1,611 Reaction score 2,881 Nov 2, 2021 #2 du hatar sana.
wa kupuliza JF-Expert Member Joined Jun 15, 2012 Posts 15,216 Reaction score 37,757 Nov 2, 2021 #3 Mkoa wa kilimo huo,mambo ya internet sio mahala pake hapo.