Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habari.clearing and forward mzigo kutoka china hadi Arusha
Bei huwa ni kwa CBM iwapo mzigo unakuja kwa meli, na kwa kilogram iwapo unakuja kwa ndege, kwenye bei hakuna tofauti kubwa kati ya kampuni moja ukilinganisha na nyingine. Mfano tu 1kg huwa kati ya usd $13-15 kutegemea aina ya bidhaa.yenye bei iliyo rafiki?