Bei huwa ni kwa CBM iwapo mzigo unakuja kwa meli, na kwa kilogram iwapo unakuja kwa ndege, kwenye bei hakuna tofauti kubwa kati ya kampuni moja ukilinganisha na nyingine. Mfano tu 1kg huwa kati ya usd $13-15 kutegemea aina ya bidhaa.
Picha: Mifano kwa bei katika KG, kwa usafiri wa ndege.